NEXA · Phone Spare Parts

Sera ya Faragha

Imesasishwa: 23 Oktoba 2026 · Tovuti: nexaphones.store · WhatsApp: +255 656 107 722

NEXA Phone Spare Parts ("NEXA", "sisi") ni duka la spare za simu lililopo Kariakoo, Horizon Tower, Dar es Salaam, Tanzania. Sera hii inaeleza taarifa tunazokusanya unaponunua kwenye tovuti yetu, unapotuandikia WhatsApp au unaponunua dukani, na jinsi tunavyozitumia.

Taarifa tunazokusanya

Tunazitumia kwa ajili ya

Hatuuzi taarifa zako. Hatukutumii matangazo bila ridhaa yako.

Tunaowashirikisha

Muda wa kuhifadhi

Kumbukumbu za oda na malipo tunazihifadhi kwa muda unaotakiwa kisheria kwa hesabu za biashara. Ujumbe wa mazungumzo tunauhifadhi hadi miezi 12, kisha tunaufuta.

Haki zako na kufuta taarifa

Unaweza kuomba kuona, kurekebisha au kufuta taarifa zako wakati wowote. Tuma ujumbe "FUTA TAARIFA ZANGU" WhatsApp kwenda +255 656 107 722 kutoka namba uliyotumia, au tembelea duka letu. Tutafuta ndani ya siku 30, isipokuwa kumbukumbu za mauzo ambazo sheria inatutaka kuzihifadhi.

Usalama

Tovuti inatumia HTTPS. Taarifa zinahifadhiwa kwenye seva salama, na wafanyakazi wenye ruhusa tu ndio wanaoweza kuziona.

Mawasiliano

NEXA Phone Spare Parts, Kariakoo, Horizon Tower, Dar es Salaam · Simu / WhatsApp: +255 656 107 722

Privacy Policy

Updated: 23 October 2026 · Website: nexaphones.store · WhatsApp: +255 656 107 722

NEXA Phone Spare Parts ("NEXA", "we") is a phone spare parts shop at Kariakoo, Horizon Tower, Dar es Salaam, Tanzania. This policy explains what information we collect when you shop on our website, message us on WhatsApp or buy in store, and how we use it.

What we collect

How we use it

We do not sell your information and do not send you marketing without your consent.

Who we share it with

How long we keep it

Order and payment records are kept for as long as the law requires for business accounts. Chat messages are kept for up to 12 months, then deleted.

Your rights and data deletion

You can ask to see, correct or delete your information at any time. Send "DELETE MY DATA" on WhatsApp to +255 656 107 722 from the number you used, or visit our shop. We delete within 30 days, except sales records the law requires us to keep.

Security

The website uses HTTPS. Information is stored on a secured server and only authorised staff can access it.

Contact

NEXA Phone Spare Parts, Kariakoo, Horizon Tower, Dar es Salaam · Phone / WhatsApp: +255 656 107 722